online lotto logo english

Plus500

Jipatie tiketi mtandaoni ya bahatinasibu yenye kitita cha pesa ya Powerball au Megamillions

Haijapita hata muda mrefu mnamo mwezi wa pili tarehe 13 mwaka 2016, wachezaji watatu wenye bahati walishinda bahatinasibu kubwa kuliko zote ndani ya US yenye kitita cha pesa. Iliyokua na kiasi cha Bilioni 1,5 za kimarekani, mashabiki wa bahatinasibu USA nzima wanatumia masaa kadhaa kusimama kwenye foleni kujipatia tiketi. Je vipi kuhusu wachezaji kutoka nchi zingine? Je wamebaguliwa kutopata tiketi za Powerball mpaka kama wakiwa ndani ya US muda huo? Hapana, hawakubaguliwa - ingali wangejua inawezekana kucheza bahatinasibu za Powerball au Megamillions mtandaoni kutoka nchi za nje pia!

Ni wazi kuwa, ni intaneti ndio inayokuruhusu wewe kupata tiketi ya hizo bahatinasibu zenye vitita vya pesa za US. Haikulazimu kuwa unaishi ndani ya USA ili upate nafasi ya kushinda hizo kubwa ajabu zenye vitita vya pesa. Hivi ndivyo unavotakiwa kufanya: Bonyeza kiungio kutembelea mtandao wao. Halafu, chagua namba yako ya mchezo wa bahatinasibu, lipia mtandaoni na ndani ya masaa machache utakua umepata tiketi yako ya Powerball au Megamillions.

Cheza na ushinde mchezo wa bahatinasibu wa kimataifa mtandaoni wenye vitita vya pesa, popote pale unapoishi

Hivi ndivyo inavyofanya kazi: baada ya kuchangua namba yako na kulipia tiketi yako mtandanoni, huduma ya mchezo wa bahatinasibu inamuagiza wakala wa mchezo wa bahatinasibu wa bahatinasibu aliyepo USA. Wakala huyo atanunua tiketi kwa niaba yako, hakikisha namba yako na jina lako vipo juu ya tiketi yako ya mchezo wa bahatinasibu, baada ya hapo watainakili picha tiketi na kukutumia barua pepe kwako yenye picha ya tiketi yako.

Kama ukishinda, taratibu zinategemea na kiasi ulichoshinda. Kiasi cha chini ya $500 kitawekwa kwenye akaunti yako hapo hapo. Unaweza ukachukua fedha zako taslimu au ukatumia pesa hizo kununua tiketi zaidi za mchezo wa bahatinasibu. Ila kama ukishinda kiwango kikubwa zaidi cha pesa, TheLotter watakutumia fomu ya kujaza, ambapo baada yakuijaza utaituma kwa njia ya barua pepe kwao tena. TheLotter wanaituma fomu hiyo kwa tume ya mchezo wa bahatinasibu na wao watakulipa wewe.

Ni muhimu kufahamu TheLotter ni kampuni mjumbe halali kisheria. Kwa kununua tiketi ya mchezo wa bahatinasibu mtandaoni, unakua na mkataba na bahatinasibu yenyewe - ambayo inakupa uhakika kuwa pesa utakayoshinda itatoka kwao!

Bahatinasibu zingine za kimataifa ambazo zinaweza kuchezwa mtandaoni

Kupitia hii huduma ya bahatinasibu, unaweza kununua tiketi za bahatinasibu 22 kubwa dunia nzima. Haijalishi unaishi wapi, unaweza kucheza bahatinasibu hizi ukiwa nchi yeyote ile nyingine. Kwa uwepo wa bahatinasibu zote hizo zenye vitita vya pesa kwa wewe tu kuchagua mtandaoni, mara zote utapata tu bahatinasibu yenye kitita cha pesa zaidi ya bahatinasibu zingine zinazopatikana eneo lako. Kumbuka - kitita cha pesa kikiwa kikubwa, unapata nafasi zaidi kimahesabu kushinda kiwango kizuri zaidi cha pesa!